Alhaji Dangote akipata maelezo kuhusu eneo alilopewa na Serikali ya Kijiji cha Mgao lenye ukubwa wa heka 2500 sawa na hekta 1000. Anatarajia kuanza kujenga bandari hiyo mapema mwaka huu.
Msafara wa Alhaji Dangote ukitoka eneo atakalojenga bandari katika Kijiji cha Mgao
Ndege iliyomleta Dangote ikiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mtwara tayari kwenda kukagua eneo atakapojenga bandari yake.
Alhaji Dangote akishuka kwenye ndege na kulakiwa na Mwakilishi Mkazi wake hapa nchini, Esther Baruti
Alhaji
Dangote akisaini katika kitabu cha wageni alipowasili katika Kijiji cha
Mgfao kukagua eneo la ujenzi wa Bandari pamoja na kiwanja alichopewa na
wanakijiji kujenga makazi yake.Kushoto ni Mwenyekiti wa Kijiji hicho,
Abdulrahman Shaa
Mwenyekiti wa Kijiji cha Mgao, Shaa (kushoto) akimuonesha Dangote eneo
la uwanja aliopewa na wanakijiji kwa ajili ya ujenzi wa mkazi yake.
Kijiji nacho kitanufaika na Dangote ambaye atawajengea shule, hospitali
pamoja na miradi mingine ya maendeleo.
Dangote akilakiwa na Esther Baruti
Alhaji Dangote akilakiwa na Balozi wa Nigeria nchini, Dk. Ishaya Majanbu
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendegu akisalimiana na Alhaji Dangote
Alhaji Dangote akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendegu (kushoto) Mwakilishi wake hapa nchini, Esther Baruti na Balozi Dk, Majanbu
Alhaji Dangote akizungumza na Esther Batuti
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dedengu akimtambulisha Alhaji Dangote kwa wananchi alipowasili katika Kijiji cha Mgao, ambapo amepewa Dangote eneo la ujenzi wa Bandari
Wananchi wakiangalia msafatra wa Alhaji Dangote uliokuwa unakwenda eneo asmbapo bandari itajengwa.
Alhaji Dangote akiwa na viongozi wa Kijiji cha Mgao pamoja na wananchi akikagua uwanja heka mbili na nusu aliyopewa kwa ajili ya kujenga makazi yake katika kijiji hicho
Msafara wa Alhaji Dangote ukielekea eneo patakapojengwa Bandari
Mwenyekiti wa Kijiji cha Mgao, Shaa akihojiwa na wananchi kuhusu maufaa watakayopata wanakijiji endapo Nadari hiyo ikijengwa
Msafara wa Dangote ukitumia magari kutembelea kiwanda cha saruji kinachojengwa
Alhaji akijadiliana jambo na Meneja wa Mradi wa ujenzi wa kiwanda cha saruji, Kushoto ni Paschasia Ngaiza Mama Mzazi wa Mwandishi wa Habari Msaidizi wa Rais wa Tanzania, Premy Kibanga ambaye pia alikuwepo kwenye ziara hiyo.
Alhaji Dangote akizungumza na Balozi wa Nigeria nchini, Dk. Majanbu muda mfupi kabla ya kuondoka jana kwenye Uwanja wa Ndege wa Mtwara
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendegu akimuaga Alhaji Dangote uwanjani hapo
Alhaji Dangote akiteta jambo na mwakilishi wake hapa nchini, Esther muda mfupi kabla ya kupanda ndege kwenda Ethiopia na hatimaye Lagos, Nigeria.
Alhaji Dangote akiaga
Dedengu akijadiliana jambo na Esther
Balozi wa Nigeria nchini, akizungumza jambo na Dendengu pamoja na Esther. Kulia ni Paschasia Ngaiza
Ndege iliyombeba Alhaji Dangote na ujumbe wake ikiondoka Uwanja wa Ndege wa Mtwara.PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA WA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni