BALOZI KAMALA AWASHUKURU WABELIGIJI KWA KUUNGA MKONO ASASI YA MIKUMI KIDS
Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiwashukuru Wabeligiji walioshiriki chakula cha kuchangia asasi ya Mikumi Kids jijini Louven Ubeligiji. Taasisi ya Mikumi Kids inalea na kusomesha watoto yatima Morogoro kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni