Watu wanahofiwa kupoteza maisha
baada ya basi la Nganga lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda
Mbeya kugongana na lori na kisha kuungua moto katika eneo la Iyove
mpakani mwa Morogoro na Iringa.
Baadhi ya abiria wakiangalia basi likiteketea kwa moto.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni