Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya TRA Benard S.Mchonvu wakati alipoongoza ujumbe wa Bodi hiyo leo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na ujumbe wa Bodi TRA ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais leo asubuhi ukiongoza na Mwenyekiti wake Benard S.Mchonvu (wa tatu kushoto)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na ujumbe wa Bodi TRA baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi (kushoto) Mwenyekiti wake Benard S.Mchonvu ( katikati) Rished Bad TRA Dar es Salaam,[Picha na Ikulu.]
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni