.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 30 Aprili 2015

TETEMEKO LA ARDHI NEPAL, KIJANA ANASULIWA TOKA KATIKA KIFUSI BAADA YA KUKWAMA KWA SIKU TANO

Kijana mwenye umri wa miaka 15 ameokolewa kutoka katika kifusi baada ya jengo la hoteli ya Hilton kuporomoka mjini Kathmandu ikiwa ni siku tano tangu tetemeko la ardhi liikumbe nchi ya Nepal na kuua watu zaidi ya 5,500. 

Kijana huyo, Pema Lama ameviambia vyombo vya habari kuwa aliishi ndani ya kifusi hicho kwa kufyonza maji ya unyevunyevu kutoka katika nguo zake.
Baadhi ya maofisi wa jeshi wanaoendesha operesheni ya uokoaji wakiwa wamembeba juu kiongozi wao baada ya zoezi la kumnasua kijana Pema Lama kwenda salama.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni