.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 7 Aprili 2015

JAJI MKUU ZANZIBAR, MH. OMAR OTHMAN MAKUNGU AKIWA ZIARANI KISIWANI PEMBA

JAJI mkuu wa Zanzibar Mhe: Omar Othman Makungu akizungumza na waandishi wa habari kisiwani Pemba, hivi karibuni kikao kilichofanyika wizara ya katiba na sheria mjini Chake Chake, (Picha na Haji Nassor, Pemba)
MWANDISHI wa habari wa shirika la Magazeti ya Serikali kisiwani Pemba Abdi Juma Suleiman, akiuliza swali wakati Jaji mkuu wa Zanzibar Mhe: Omar Othman Makungu alipokua akizungumza na waandishi wa habari kisiwani humo hivi karibuni, (Picha na Haji Nassor, Pemba)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni