Padri Timoth Maganga wa Kanisa Katoliki la Kigogo Mburahati akitoa shukrani zake za pekee kwa Waziri Membe kutembelea kituoni hapo.
Msimamizi wa Nyumba ya Furaha na Amani, Sista Bakitha akiongea machache kumkaribisha Mhe. Membe mara baada ya kufika kituoni hapo akiambatana na mkewe Dorcas na familia yake kwa jumla kusherehekea Siku Kuu ya Pasaka pamoja na Watoto Yatima na Wazee wanaolelewa kwenye kituo cha Nyumba ya Furaha na Amani.
Waziri Membe akikata keki pamoja na Sista Bakitha kama ishara ya kusherehekea Siku Kuu ya Pasaka pamoja na Watoto Yatima na Wazee wanaolelewa kwenye kituo cha Nyumba ya Furaha na Amani. Pembeni ni Mama Dorcas Membe nae akifurahia.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni