.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 20 Aprili 2015

KANISA KATOLIKI POROKIA YA MWANANYAMALA YAZINDUA HARAMBEE YA KUCHAGIA UKARABATI KANISA HILO

ka1 
Paroko wa Kanisa Katoliki Paroki ya Mwananyamala, Focus Masawe, akizindua Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo jijini Dar es Salaam juzi
ka2
Paroko wa Kanisa Katoliki Paroki ya Mwananyamala, Focus Masawe, akionyesha Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo baada ya kuzindua rasmi
ka5Mwajumuiya wa Kanisa Katoliki Paroki ya Mwananyamala, Stephen Mija, akionyesha Kadi Maalumu ya harambee ya kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo baada ya kuchingia shilingi milioni 2 jijini Dar es Salaam juzi
ka6Wanakwaya wa Paroko wa Kanisa Katoliki Paroki ya Mwananyamala, wakiimba wakati wa uzinduzi uuzaji wa tiketi na kadi Maalumu ya harambee ya kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo juzi
ka7
Waumini wa Kanisa Katoliki Paroki ya Mwananyamala wakiimba wakati wa uzinduzi uuzaji wa tiketi na kadi Maalumu ya harambee ya kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo juzi

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni