Vinara wa ligi kuu nchini Uingereza, timu ya soka ya Chelsea wameendelea kuwa na kiwango bora katika ligi hiyo msimu huu, baada ya jana kuitandika nyumbani kwao QPR bao 1-0 katika mchezo wa ligi hiyo uliokuwa na ushindani mkubwa.
Mshambuliaji Cesc Fabregas ndiye aliyekuwa shujaa wa vijana hao wa kocha msemaji, Jose Mourinho baada ya kufunga bao hilo muhimu katika dakika ya 88 ya kipindi cha pili cha mchezo, matokeo ambayo yameifanya Cheslea kuendelea kuongoza ligi wakiwa na pointi 73.
Matic akimpongeza Fabregas baada ya kufunga goli







Hakuna maoni :
Chapisha Maoni