.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 27 Aprili 2015

LIGI KUU UINGEREZA, EVERTON YAWATANDIKA MANCHESTER UNITED 3-0

Wakicheza katika uwanja wao wa nyumbani hapo jana timu ya soka ya Everton wametoa kichapo cha aina yake kwa Manchester United baada ya kuitandika mabao 3-0 katika mchezo wa ligi kuu nchini humo.
Kwa matokeo hayo Manchester wapo nafasi ya nne wakiwa na pointi 65 huku Everton wakiwa na pointi 44 wakiwa katika nafasi ya kumi katika msimamo wa ligi hiyo.






Hakuna maoni :

Chapisha Maoni