Washika bunduki wa jiji la London, Arsenal ambao hivi sasa wapo katika kiwango cha hali ya juu cha kusakata kandanda leo tena wanateremka uwanjani kucheza na Burnley.
Arsenal ambao katika msimamo wa ligi kuu Uingereza wapo nafasi ya pili wakiwa na pointi 63
, watakuwa wakicheza ugenini.
Arsenal watataremka uwanjani wakiwa na kumbukumbu nzuri ya kuwatandika Liverpool mabao 4-1 wiki iliyopita.
Wao Burnely wiki iliyopita walipokutana na Tottenham hawakufungana.
Michezo mingine itakayochezwa leo ya ligi kuu Uingereza ni kama ifuatavyo:-
Swansea vs Everton
Southampton vs Hull
Sunderland vs Crystal Palace
Tottenham vs Aston Villa
West Brom vs Leicester
West Ham vs Stoke
Swansea vs Everton
Southampton vs Hull
Sunderland vs Crystal Palace
Tottenham vs Aston Villa
West Brom vs Leicester
West Ham vs Stoke


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni