Jengo la ghorofa tatu limeanguka
hii leo katika mji wa Kikuyu, katika kaunti ya Kiambu nchini Kenya.
Taarifa zinaeleza kuwa hakuna mtu
aliyejeruhiwa wakati jengo hilo lililokuwa bado lipo katika ujenzi likianguka
leo asubuhi.
Tukio hilo limetokea ikiwa ni wiki moja tu kupita tangu jengo jingine la ghorofa tano lililokuwa katika ujenzi kuanguka katika kijiji cha Gacharage katika kaunti hiyo hiyo.
Tukio hilo limetokea ikiwa ni wiki moja tu kupita tangu jengo jingine la ghorofa tano lililokuwa katika ujenzi kuanguka katika kijiji cha Gacharage katika kaunti hiyo hiyo.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni