Mamia ya ndege zimehairisha safari
zake kufuatia mpango wa kuanza mgomo wa waongoza ndege nchini
Ufaransa.
Chama Kikuu cha waongoza ndege
Ufaransa (SNCTA), kimeitisha mgomo hii leo na kesho kufuatia mgogoro
kuhusu mazingira duni ya kazi.
Mamlaka ya Anga ya DGAC, imeyataka
mashirika ya ndege kupunguza safari za ndege kwende na kutoka
Ufaransa kwa asilimia 40.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni