.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 2 Aprili 2015

MELI YA UVUVI YA URUSI IMEZAMA NA KUUA MABAHARI 54

Meli ya uvuvi ya Urusi imezama katika penisula ya Kamchatka, ambapo mabaharia wapatao 54 wamethibitishwa kufa maji hadi sasa.

Watu 63 wameokolewa wengi wakisumbuliwa na ugonjwa wa baridi yabisi kwa mujibu wa kikosi cha uokoaji cha wanamaji cha Urusi.

Meli hiyo ya Dalniy Vostok yenye mfumo wa jokofu ilikuwa na watu 132, wakati ikizama, ambapo miongoni mwao 78 warusi na wengine waliobakia wakitokea katika nchi za Latvia, Ukraine, Myanmar pamoja na Vanuatu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni