Mfalme Salman bin Abdulaziz al-Saud ( kushoto ) amemteua Mohammed bin Salman ( kulia ) kuwa waziri wa Ulinzi.
Mfame wa Saudi Arabia, Salman bin Abdulaziz al-Saud amemteua mpwa wake, Mohammed Bin Nayef kuwa mrithi wa kiti hicho cha kifalme.
Mfame Salman amefikia uamuzi huo baada ya kumuondoa kaka yake wa kambo Prince Muqrin ambaye ndiye aliyekuwa mrithi wa kiti hicho.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni