Miili ya wanafunzi 112 waliouwawa
katika tukio la ugaidi katika Chuo Kikuu cha Garissa imetambuliwa na
ndugu katika chumba cha maiti cha Chiromo Jijini Nairobi.
Waziri wa Afya Kenya, James Macharia
amesema miili mingine 30 bado haijatambuliwa jambo ambalo
limechelewesha utolewaji wa orodha ya majina ya wanafunzi waliokufa
katika tukio hilo la wiki iliyopita.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni