Nchi ya Taiwan imeanza mgao wa maji
kwa zaidi ya kaya milioni moja katika kukabiliana na ukame mkubwa
kuwahi kutokea katika kisiwa hicho.
Mgao huo wa maji utahusisha kukatwa
maji kwa muda wa siku mbili katika kila wiki kwa zamu katika miji ya
Kaskazini mwa nchi hiyo.
Uhaba huo wa maji nchini Taiwan
unatokana na kupungua kwa mvua na kusababisha matanki ya hazina ya
maji kutojaa kama inavyostahiki.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni