Kiongozi wa zamani wa kijeshi
Muhammadu Buhari amekuwa mgombea wa kwanza wa chama cha upinzani
kushinda uchaguzi wa urais nchini Nigeria.
Rais aliyemadarakani Goodluck
Jonathan amempigia simu Jenerali Buhari jana usiku kumpongeza kwa
ushindi na kukubali kushindwa.
Matokeo rasmi yanaonyesha Jenerali
Buhari anaongoza kwa kupata kura zaidi ya milioni mbili dhidi ya
Jonathan.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni