Shirika la Kutetea Haki za Binadamu
la Amnesty International, limesema kumekuwepo na ongezeko kubwa la
adhabu ya kifo duniani katika mwaka 2014.
Zaidi ya watu 500 walitekelezewa
adhabu ya kifo duniani katika mwaka 2014, ongezeko hilo linahusishwa
na adhabu za kifo katika nchi za China na Nigeria.
Katika kikao cha kutathimini
matumizi ya adhabu ya kifo duniani, shirika hilo limesema baadhi ya
mataifa yanatumia adhabu hiyo kutokana na tishio la usalama.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni