.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 21 Aprili 2015

NAHODHA WA MASHUA ILIYOUA MAMIA YA WAHAMIAJI KATIKA BAHARI YA MEDITERRANEAN ASHITAKIWA

Nahodha ya mashua iliyozama ikiwa na mamia ya wahamiaji haramu waliokuwa wakisafiri kupitia bahari ya Mediterranean kuelekea Ulaya kutafuta maisha bora amefikishwa mahakamani nchini Italia kujibu mashitaka yanayomkabili. 

Nahodha huyo raia wa Tunisia ameshitakiwa kwa makosa ya kusababisha vifo vya mamia ya wahamiajia hao na pia ameshitakiwa kwa kusafirisha isivyo halali wahamiaji hao. 

Nahodha huyo ni kati ya watu 27 waliosalimika katika ajali ya mashua aliyokuwa akiiendesha iliyozama wiki iliyopita na kuua mamia ya wahamiaji haramu katika pwani ya Libya.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni