Rais wa Marekani, Barack Obama akiwa katika picha ya pamoja na mwanariadha mwenye kasi zaidi duniani, Usain Bolt raia wa Jamaica.
Rais Obama alikutana na mwanariadha huyo mshindi wa mara sita mfululizo wa mashindano ya Olimpic alipofanya ziara ya kikazi nchini Jamaica mwishoni mwa wiki iliyopita.
Rais Obama amekuwa kiongozi wa juu wa Marekani kuzuru Jamaica toka mwaka 1982.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni