.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 15 Aprili 2015

VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA WAKUTANA KISIWANI PEMBA

MWENYEKITI wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Jecha Salim Jecha akifungua mkutano wa wadau wa Uchaguzi na viongozi wa vyama vya siasa Kisiwani Pemba,pembeni yake ni baadhi ya makamishna wa Tume hiyo.
MKUU wa Wilaya ya Mkoani katikati Mhe:Hemed Suleiman Abdalla, akiwa na makatibu tawala wa Mkoa na Wilaya za Pemba, wakifuatia hutuba ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim ambaye hayupo pichani, wakati akifungua mkutano wa wadau wa Uchaguzi.
MWENYEKITI wa Chama cha AFP Taifa Said Soud Said, akichangia mada katika mkutano wa wadau wa Uchaguzi uliofanyika kisiwani Pemba.
 

                                                                      Picha zote na Bakari Mussa.PEMBA.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni