.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 21 Aprili 2015

RAIS WA ZANZIBAR, DK SHEIN AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA WA WADAU WA ZSSF

dk2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora pia kaimu Waziri wa Fedha Dkt.Mwinyihaji Makame Mwadini (kulia) na Mwenyekiti wa Bodi ya ZSSF Dkt,Suleiman Rashid wakiwa katika Mkutano wa mkutano wa kwanza wa Wadau wa ZSSF wa siku mbili ulioanza leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja, [Picha na Ikulu.] dk3
Baadhi ya Wafanyakazi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ZSSF wakiwa katika Mkutano wa siku mbili Wadau wa ZSSF wa siku mbili ulioanza leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja sambamba na kuifungua mifuko ya kujichangia kwa Hiari ZVSSS na mfuko wa Mafao ya uzazi [Picha na Ikulu.] dk4
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake wakati akifungua mkutano wa kwanza wa Wadau wa ZSSF wa siku mbili ulioanza leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja sambamba na kuifungua mifuko ya kujichangia kwa Hiari ZVSSS na mfuko wa Mafao ya uzazi [Picha na Ikulu.] dk5
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kizindua mfuko wa kujichangia kwa Hiari ZVSSS na mfuko wa Mafao ya uzazi baada ya kuufungua mkutano wa kwanza wa Wadau wa ZSSF wa siku mbili ulioanza leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja (kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora pia kaimu Waziri wa Fedha Dkt.Mwinyihaji Makame Mwadini,[Picha na Ikulu.] dk6
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Bi Fatma Ali Makame akiwa na Mtoto wake mafao ya Uzazi baada ya kuufungua mkutano wa kwanza wa Wadau wa ZSSF wa siku mbili ulioanza leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja (katikati) Mwenyekiti wa Bodi ya ZSSF Dkt,Suleiman Rashid,[Picha na Ikulu.] dk7
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Ngao Bw.Omar Mwinyikondo Mkurugenzi Utumishi na Uendeshaji Wizara ya Afya akiwakilisha Wizara yake ikiwa ni wachangiaji Bora wa Taasisi za Serikali wakati wa utoaji wa zawadi kwa mashirika na taasisi mbali mbali zilizochangia ZSSF wakati ufunguzi wa mkutano wa kwanza wa Wadau wa ZSSF wa siku mbili ulioanza leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja (katikati) Mwenyekiti wa Bodi ya ZSSF Dkt,Suleiman Rashid,[Picha na Ikulu.]

dk9
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi cheti cha shukrani Bi Raya Hamdani Khamis akiwa mtumishi wa muda mrefu wa ZSSF baada ya kuufungua mkutano wa kwanza wa Wadau wa ZSSF wa siku mbili ulioanza leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja (katikati) Mwenyekiti wa Bodi ya ZSSF Dkt,Suleiman Rashid,[Picha na Ikulu.] dk10
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Ngao Bw.Rajab Abdalla Meneja Rasilimali watu akiwakilisha Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ wakati wa utoaji wa zawadi kwa mashirika ya Umma yaliyochangia ZSSF baada ya kuufungua mkutano wa kwanza wa Wadau wa ZSSF wa siku mbili ulioanza leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja (katikati) Mwenyekiti wa Bodi ya ZSSF Dkt,Suleiman Rashid,[Picha na Ikulu.] dk11
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi cheti cha shukrani Bi Fatma Mohamed Abass akiwa mtumishi wa Awali wa ZVSSS baada ya kuufungua mkutano wa kwanza wa Wadau wa ZSSF wa siku mbili ulioanza leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja (katikati) Mwenyekiti wa Bodi ya ZSSF Dkt,Suleiman Rashid,[Picha na Ikulu.]

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni