.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 14 Aprili 2015

SELCOM YAMWAGA MAPESA KWA WASHINDI WA SHINDA NA SELCOM

Meneja Ukuzaji Biashara na Masoko wa kampuni ya Selcom, Juma Mgori kushoto akimkabidhi mshindi wa shindano la shinda na Selcom kiasi cha shilingi laki moja Bi.Winfrida Shoo mkazi wa sinza Dar es salaam anaeshuhudia katikati ni Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta mshindi huyu alinunua muda wa maongezi kupitia Advans Bank Mobile bankingMeneja Ukuzaji Biashara na Masoko wa kampuni ya Selcom, Juma Mgori kushoto akimkabidhi mshindi wa shindano la shinda na Selcom kiasi cha shilingi laki moja Bw.Khalid Kasim mkazi wa mbagala Dar es salaam anaeshuhudia katikati ni Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta mshindi alinunua LUKU kwa wakala wa Selcom
Meneja Ukuzaji Biashara na Masoko wa kampuni ya Selcom, Juma Mgori kushoto akimkabidhi mshindi wa shindano la shinda na Selcom kiasi cha shilingi laki moja Bw.Shafii Liumbo mkazi wa Mtoni Mtongani Dar es salaam anaeshuhudia katikati ni Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta mshindi huyu alinunua LUKU kwa Wakala
Meneja Ukuzaji Biashara na Masoko wa kampuni ya Selcom, Juma Mgori kushoto akimkabidhi mshindi wa shindano la shinda na Selcom kiasi cha shilingi laki moja Bw.Bonface Richard wa Banana Dar es salaam anaeshuhudia katikati ni Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta mshindi huyu alinunua
LUKU kwa Wakala
                                                 WASHINDI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni