Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Kiongozi wa Watalaamu Mabingwa wa Magonjwa ya Kichwa, Uti wa Mgongo na Matibabu ya Maumivu kutoka nchi za Afrika Mashariki Dk.Mahmoud Qureshi pia Makamu wa Rais wa Taasisi ya Maendeleo ya Mafunzo Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu alipofika Ikulu Mjini Zanzibar na ujumbe aliofuatana nao jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Ujumbe wa Watalaamu Mabingwa wa Magonjwa ya Kichwa, Uti wa Mgongo na Matibabu ya Maumivu kutoka nchi za Afrika Mashariki ukiongozwa na Dk.Mahmoud Qureshi pia Makamu wa Rais wa Taasisi ya Maendeleo ya Mafunzo Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana.
[Picha na Ikulu.]
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni