.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 30 Aprili 2015

WALIOMSHAMBULIA MALALA KWA RISASI WAHUKUMIWA KWENDA JELA MAISHA

Mahakama Kaskazini Magharibi mwa Pakistan imewahukumu kifungo cha maisha gerezani wanamgambo 10 waliomshambulia kwa kumpiga risasi mwaka 2012 mwanaharakati wa kutetea haki za watoto na mshindi wa tuzo ya Nobel, Malala Yousafzai. 

Katika shambulio hilo, Malala alijeruhiwa vibaya kichwani wakati huo akiwa na umri wa miaka 15. 

Wapiganaji wa kundi wa Taliban walilishambulia kwa risasi basi la wanafunzi Oktoba 2012 na kumjeruhi vibaya Malala kufuatia kampeni zake za kumuendeleza ki elimu mtoto wa kike.Hivi sasa Malala ana umri wa miaka 17.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni