Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwekezaji kutoka Nigeria anayejenga kiwanda cha saruji mkoani Mtwara, Bw.Aliko Dangote (kulia kwake) na ujumbe wake, ofisini kwake jijini Dar es salaam Aprili 30, 2015. Watatu kushoto ni Balozi wa Nigeria nchini, Dkt. Ishaya Samaila Majanbu.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na Mwekezaji kutoka Nigeria anayejenga kiwanda cha saruji mkoani Mtwara, Bw.Aliko Dangote (kulia kwake) na ujumbe wake baada ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam April 30, 2015. Kushoto kwake ni balozi wa Nigeria nchini, Dkt. Ishaya Samaila Majanbu. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Mwekezaji kutoka Nigeria anayejenga kiwanda cha saruji mkoani Mtwara, Bw.Aliko Dangote (kushoto) na balozi wa Nigeria nchini, Dkt. Ishaya Samaila Majanbu (kulia) baada ya mazungumzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Aprili 30, 2015. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni