.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 23 Aprili 2015

ZAIDI YA WAHAMIAJI 900 WALIOFARIKI DUNIA WAKIJARIBU KWENDA ULAYA WAKUMBUKWA


Wahamiaji hao walipoteza maisha yao baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama. Taarifa zinasema mpaka sasa zaidi ya wahamiaji 1,800 wamefariki dunia katika bahari ya Mediterranean mwaka huu pekee walipokuwa wakijaribu kwenda Ulaya kwa kutumia boti.
Mmoja wa waombolezaji akilia kwa uchungu wakati wa kuwasha mishumaa ya kuwakumbuka wahamiaji waliofariki dunia baada ya boti yao kuzama baharini wiki iliyopita.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni