.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 23 Aprili 2015

NCHI YA CHILE YASHUHUDIA MLIPUKO WA VOLCANO

Nchi ya Chile imeshudia Volcano Calbuco ikilipuka kusini mwa nchi hiyo ikiwa ni miaka 40 kupita tangu nchi hiyo ishuhudie tukio kama hilo.

Zaidi ya watu 1,500 waliokuwa wakiishi katika mji wa Ensenada ulipotokea mlipuko huo wamelazimika kuyahama makazi yao kwa muda na kwenda mji wa karibu ili kusalimisha maisha yao.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni