.
.
.
.
.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga
|
TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
mbani
NYUMBANI
HABARI
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
TABASAMU
KIMATAIFA
Ijumaa, 22 Mei 2015
BALOZI KAMALA AMSHUKURU MZEE NYAMTARA MUKOME KWA KAZI NZURI ALIYOFANYA UBALOZI WA TANZANIA UBELIGIJI
Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kulia) akimkabidhi Mzee Nyamtara Mukome zawadi ya kumshukuru kwa kazi nzuri aliyofanya Ubalozi wa Tanzania Ubeligiji alipokuwa Afisa wa Mambo ya Nje Ubalozi wa Tanzania Ubeligiji masuala ya Jumuiya ya Ulaya. Mhe. Nyamtara amestaafu na wiki ijayo anarejea Tanzania.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni ( Atom )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni