Jaji mkuu wa Zanzibar, Omar Othman Makungu akitoa hotuba kwenye uzinduzi wa ripoti hiyo jana. Sherehe ya uzinduzi wa Ripoti ya Haki za Binadamu Tanzania kwa mwaka 2014 iliyofanyika kwenye uwanja wa Kituo cha Huduma za Sheria, Migombani mjini Zanzibar jana.
Jaji mkuu wa Zanzibar, Omar Othman Makungu akionyesha vitabu vya Ripoti ya Haki za Binadamu Tanzania kwa mwaka 2014 iliyofanyika kwenye uwanja wa Kituo cha Huduma za Sheria Migombani mjini Zanzibar jana. Picha na Martin Kabemba. Jaji mkuu wa Zanzibar, Omar Othman Makungu akionyesha vitabu vya Ripoti ya Haki za Binadamu Tanzania kwa mwaka 2014 iliyofanyika kwenye uwanja wa Kituo cha Huduma za Sheria Migombani mjini Zanzibar jana.
Picha na Martin Kabemba.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni