.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 21 Mei 2015

WAPIGANAJI WA KUNDI LA DOLA YA KIISLAM (IS) NCHINI SYRIA WAMEUTWAA MJI WA KALE

Wapiganaji wa Kundi la Dola ya Kiislam (IS) nchini Syria wameutwaa mji wa kale wa Palmyra na wameingia kwenye eneo la mabaki ya majengo ua kale yenye thamani.

Kundi linalofuatilia hali ya Syria limesema hakuna ripoti yoyote hadi sasa kuhusu uharibifu wa majengo hayo ya kale.

Kundi la IS pia linashikilia uwanja wa ndege uliokaribu, gereza pamoja na makao makuu ya idara ya ujasusi. Serikali imekiri kuondoa vikosi vyake katika mji huo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni