Boti lililokuwa limebeba jamii ya
waislamu 500 wa Rohingya raia wa Myanmar imeokolewa baharini
kaskazini mwa Indonesia.
Boti hilo lililokuwa na wanawake
wengi na watoto, likikuwa limekwama kwenye maji katika mkoa wa Aceh,
wakati lilipookolewa.
Myanmar ambayo ilikuwa ikijulikana
kama Burma, imekataa kutambua waislama wa jamii ya Rohingya kama raia
na mamia kwa maelfu wamekuwa wakikimbia kuuwawa katika miaka ya hivi
karibuni.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni