.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 18 Mei 2015

BUSEGA WAPIGA HATUA KUBWA KATIKA UJENZI WA MAABARA

Muonekano wa maabara kwa ndani katika moja ya shule za Sekondari wilayani Busega mkonai Simiyu.

                                                                                         Na Shushu Joel, Simuyu

Halmashauri ya wilaya ya Busega na uongozi wa ofisi ya Mkuu wa Wilaya umefikia pazuri katika utekelezaji wa mpango wa maabara kwa kila shule ya sekondari nchini ambao ulitangazwa na Rais Jakaya Kikwete miezi michache iliyopita.

Hali hiyo inatokana na kujipanga vyema kwa uongozi mzima kuanzia Mkuu wa Wilaya,Paul Mzindakaya, Baraza la madiwani la wilaya hiyo chini ya Mwenyekiti wake John Lukale, pia kwa ushilikiano mkubwa wanaoupata kutoka kwa maofisa watendaji wa halmashaul hiyo.

Chini ya uongozi wa Mkurungezi Mtendaji, Hamis Yunah katika kutekeleza majukumu yaliyowaweka katika ofisi mbalimbali za mamlaka katika Halmashauri hiyo.

Kutokana na kufanikiwa vyema katika kukusanya mapato ya ndani yaliyofikia zaidi ya Sh 27 bilioni katika mwaka wa fedha wa 2013/14 kwakutumia kasi hiyo ya ukusanyaji pia imepiga hatua kubwa katika kutekeleza maagizo mbalimbali ya kitaifa.kati ya maagizo hayo ni pamoja na lile la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Jakaya Kikwete la kutaka kila shule ya sekondari nchini kuwa na maabara za masomo ya sayansi.



Kwamjibu wa angizo hilo kila mkuu wa Wilaya nchini kwa kushilikiana Halimashauri husika anapaswa kuhakikisha kila shule ya sekondari ina maabara kwa ajili ya masomo ya sayasi ifikapo novemba 31 mwaka huu uamuzi huo unatoa fursa kwa wanafunzi kujifunza kwa nadharia na vitendo masomo ya sayansi hali ambayo itasaidia upatikanaji wa walimu wengi wa somo hilo na pia wanasayansi kwa ajili ya utafiti na uvumbuzi tofauti katika fizikia,kemia naviumbehai maabara………..0 kati ya 120 mbioni kukamilika katika halmashaul ya wilaya ya Busega yenye jumla ya shule 40 za sekondari zilizojengwa kwa nguvu ya wananchi na fedha za mapato ya ndani ya halmashauli hiyo.

Mzindakaya anasema katika shule hizo,hadi kufikiwa mapema mwaka huu kila shule ilikuwa na chumba kimoja cha maabara huku mahitaji halisi yakiwa ni vyumba vitatu kwa kila shule.”Hadi mwanzoni mwa mwaka huu tulikuwa tumefanikiwa kujenga chumba kimoja cha maabara huku mahitaji halisi yakiwa ni vyumba vitatu kwa kila shule,”hadi mwanzoni mwa mwaka huu tulikuwa tumefanikiwa kujenga chumba kimoja maabara kwa kila shule,” anasema na kuongeza kuwa masomo ya sayasi ni matatu ambayo ni fizikia, kemia biolojia.anasema kulikuwa na upungufu wa vyumba 80 ambavyo vinajitahidi kumaliziwa ujenzi wake ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa agizo la Rais.

Anasema hadi sasa manispaa na uongozi wa ofisi yake, wapohatua za mwisho kukamilisha vyumba vyamaabara 40 nahivyo kufanyaidadi ya maabara zilizojengwa katika shule 40 za halmashaul hiyo kufikia ….kati ya … zinazotakiwa. “Ujenzi wa mabara hizo… za awamu ya pili upo katika hatua mbalimbali za mwisho tuna uhakika ifikapo mwezi wa 4 tutakuwa tumekamilisha,hivyo kuingiza katika awamu ya mwisho ya ujenzi wa nyingine .. zilizosalia”anasema. Mzindakay kikubwa cha uongozi wa halmashaul hiyo kufanikiwa kutekeleza jukumu hili muhimu ambalo linagharimu mabilion ya shilingi kutoka mapato ya ndani ya halmashaul.

Anasema kujipanga vyema kwa uongozi wa wilaya,Mbunge, Baraza la madiwani, mkurugenzi, wakuu wa idara na wenyeviti wa vitengo, bodi za shule walimu wakuu na makandarasi,ndiko kulikosaidia kupatikana kwa mafanikio hayo.


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni