Jumatatu, 18 Mei 2015
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MAONYESHO YA BIASHARA NCHINI CHINA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Kamati ya maandalizi ya Maonyesho ya Biashara ya China ‘Expo Central China 2015′, wakati akiwasili kwenye Ukumbi wa Mikutano wa ‘Wuhan International Exhibition Centre VVIP Room’. Mkutano huo umeanza leo Mei 18 2015 jijini Wuhan, Jiombo la Hubei. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (katikati) akiwa na baadhi ya Viongozi wa nchini China, Katibu wa Chama Tawala cha CPC cha Nchini China, Jimbo la Hubei, Li Hongzhong (kushoto) na wengine, wakati alipofungua Maonesho ya Biashara ya China ‘Expo Central China 2015′, yaliyoanza leo Mei 18, 2015, Jimbo la Hubei, Jijini Wuhan nchini China. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa na Katibu wa Chama Tawala cha CPC cha Nchini China, Jimbo la Hubei, Li Hongzhong (kushoto) wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Biashara ya China ‘Expo Central China 2015′. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimpongeza wa na Katibu wa Chama Tawala cha CPC cha Nchini China, Jimbo la Hubei, Li Hongzhong, baada ya kuzungumza wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Naibu Waziri Mkuu wa China, Wang Yang, wakati walipokutana kwa mazungumzo baada ya Makamu kufungua rasmi Maonesho ya Biashara ya China, leo Mei 18, 2015 kwenye Ukumbi Mikutano wa ‘Wuhan International Exhibition Centre, jijini Wuhan Jimbo la Hubei nchini China. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Maonesho ya Biashara ya China, ‘Expo Central China 2015′, ulioanza leo Mei 19, 2015 kwenye ukumbi wa mikutano wa ‘Wuhan International Exhibition Centre, uliopo Jijini Wuhan Jimbo la Hubei nchini China. Picha na OMR
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni