.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 18 Mei 2015

SUPER D BOXING CLUB YATEUWA MABONDIA WATATU KUPIGANA MEI 23 PANANDI PANANDI

Kocha Mohamed Chipota kulia akimfundisha bondia Ramadhani Maonya jinsi ya kutupa makonde wakati wa mazoezi yanayoendelea katika club ya Super D Boxing iliyopo shule ya Uhuru kwa ajili ya kujiandaa na mpambano wake utakaofanyika mei 23 katika ukumbi wa Panandi panandi Ilala bungoni Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Hysam Mwakinyo kushoto akioneshana umwamba wa kutupa makonde na Raymond Mbwago mabondia hawo kutoka clab ya Super D Boxing iliyopo shule ya Uhuru wanajianda na mapambano yatakayofanyika mei 23 katika ukumbi wa panandi panani Ilala Bungoni Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Hysam Mwakinyo kushoto akioneshana umwamba wa kutupa makonde na Raymond Mbwago mabondia hawo kutoka clab ya Super D Boxing iliyopo shule ya Uhuru wanajianda na mapambano yatakayofanyika mei 23 katika ukumbi wa panandi panani Ilala Bungoni Picha na SUPER D BOXING NEWS 

                                                                                        Na Mwandishi Wetu
 

Kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBC kwa kushirikiana na Kinyogoli foundation inawatangazia mabondia wanaotaka kuingia ngumi za kulipwa mei 23 katika ukumbi wa Panandi Panandi zitakapofanyika ngumi za (semi profession) zitakazoshirikisha mabondia chipukizi kutoka club mbali mbali nchini .

Upimaji wa uzito utafanyika hapo hapo mei 22. Rais wa TBPC Chaurembo Palasa ametoa wito wa mabondia kujitokeza kwa ajili ya kuonesha uwezo wao na kupangwa katika madaraja mbalimbali ya viwango vyao.

Aliongeza kwa kusema kuwa wanahitaji wafadhili wajitokeze kwa ajili ya kuwasapoti vijana hao chipkizi kwa njia moja au nyingine.

Club ya Super D iliyopo shule ya uhuru Dar es salaam imeteua mabondia watatu watakaoshiriki katika mashindano hayo wakiongozwa na Raymond Mbwago kg 64 na Hyasam Mwakinyo KG 66 pamoja na Ramadhani Maonya KG 51 mabondia hawo wote kutoka club ya Super D inayo ngozwa na kocha Mohamed Chipota iliyopo Katika shule ya Uhuru

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni