.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 26 Mei 2015

CARLO ANCELOTTI AFUNGASHIWA VILIVYO VYAKE REAL MADRID


Timu ya soka ya Real Madrid imetangaza kumfungashia virago vyake kocha wake mkuu Carlo Ancelotti. 

Uamuzi huo umetangazwa jumatatu na Rais wa timu hiyo Florentino Perez, baada ya kushuhudia timu hiyo ikimaliza msimu vibaya. 

Real Madrid msimu huu wameshindwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu Hispania al maarufu La Liga, ubingwa ambao ulichukuliwa na FC Barcelona na pia ilishindwa kulitetea kombe la ligi ya mabingwa barani Ulaya walilolitwaa mwaka jana.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni