.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 26 Mei 2015

RAIS WA ZANZIBAR, DK.SHEIN AFIWA NA DADA YAKE

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa nne kulia) akijumuika na Viongozi mbali mbali katika mazishi ya Dada yake Marehemu Fatma Shein aliyefarika jana na kuzikwa leo katika Makaburi ya Mwanakwerekwe Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitia udongo katika kaburi la Dada yake Marehemu Fatma Shein aliyefarika jana na kuzikwa katika Makaburi ya Mwanakwerekwe Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo,[Picha na Ikulu.]

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni