.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 3 Mei 2015

CHELSEA MABINGWA WA LIGI KUU ENGLAND 2014/2015, WAITANDIKA CRYSTAL PALACE 1-0

Mshambuliaji wa Chelsea Eden Hazard akifunga kwa kichwa baada ya hapo awali mpira wa penati aliopiga kupanguliwa na mlinda mlango wa Crystal Palace, Julian Speron.
Mlinda mlango wa Crystal Palace, Julian Speron akiuangalia mpira ukijaa wavuni na kuiandikia Chelsea bao 1-0
SISI NI MABINGWAAAA!! Wachezaji wa Chelsea wakishangilia katika chumba cha kubadilishia nguo baada ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu nchi Uingereza. Chelsea imetwaa ubingwa baada ya kuifunga Crystal Palace bao 1-0 katika mchezo uliochezwa leo na kufikisha pointi 83.
WEWEEEEEEE!!! Mmiliki wa Chelsea, Mrusi tajiri Abramovich akishangilia kwa furaha baada ya timu yake kutwaa ubingwa wa ligi kuu nchini Uingereza katika msimu 2014/2015.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni