.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 8 Mei 2015

DAVID CAMERON ATARAJIA KUONGOZA TENA MATAIFA YANAYOUNDA UK

David Cameron amesema anatarajia kuyaongoza mataifa yanaounda UK, wakati huu ambapo utabiri unaonyesha chama chake kitapata ushindi wa viti vya kutosha kati ya 329, vitakavyomuwezesha kupata ushindi mdogo.

Waziri Mkuu huyo wa Uingereza amesema ingawa ni mapema mno kuelezea ushindi, lakini anatarajia kuunda serikali.

Chama cha Labour kimedhibitiwa na chama cha SNP nchini Scotland na bado kimeshindwa kupata viti vya kutosha Uingereza na na Wales.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni