Watu wapatao wanne wameuwawa katika
katika maandamano mapya nchini Burundi, baada ya rais Pierre
Nkurunziza kuapa kuwania urais kwa muhula wa tatu.
Mashahidi wamesema mtu anayeiunga
mkono serikali amechomwa moto akiwa hai, huku mwanachama mmoja wa
upinzani akifa kwa kupigwa risasi kichwani na polisi.
Umoja wa Afrika umeungana na
Marekani kumtaka rais Nkuruzinza kuachana na mpango wake wa kuwani
urais kwa muhula wa tatu.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni