Jeshi la Marekani limepeleka
kimakosa sampuli za vimeta hai katika maabara tisa katika nchi hiyo
na katika kambi ya Marekani nchini Korea Kusini.
Pentagon imesema wanajeshi 22,
katika kambi ya anga ya Osan Korea Kusini wanapatiwa tiba ya kinga
kutokana na uwezekano wa kupata maambukizi baada ya kukaa na sampuli
hizo.
Nchini Marekani raia wanne
wanapatiwa matibabu, ingawa inasemekana hawapo katika hatari kubwa.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni