Jimbo la Marekani Nebraska limefuta
adhabu ya kifo baada ya wabunge kupiga kura ya turufu kupitisha
sheria ya kuondoa adhabu hiyo.
Uamuzi huo umeoungwa mkono na
muungano chama cha mrengo wa kulia ambao wanapinga adhabu ya kifo
kama njia ya adhabu.
Jimbo la Nebraska linaungana na
majimbo 18 pamoja na serikali za wilaya ya Washington DC, katika
kupiga marufuku adhabu ya kifo.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni