Jeshi la Nigeria limewafukuza kazi
wanajeshi wapatao 200 ambao ni waoga na ambao wameshindwa kupambana
na kundi la Boko Haram.
Baadhi ya wanajeshi wameliambia
shirika la habari la BBC, kuwa wanajeshi wenye vyeo 4,500 na huenda
wakafukuzwa kazi.
Vyanzo vya jeshi la Nigeria
vimethibitisha kufukuzwa wanajeshi hao, lakini havikutoa idadi yao.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni