Shughuli itaanza saa kumi jioni nyumbani kwake Mbezi jirani na daraja la Lugalo - Tangi Bovu ambapo familia itapenda na inaomba ujumuike nasi katika chakula cha usiku na pia mkesha ambapo kutakua na matukio mbalimbali kwa ajili ya kumuenzi baba yetu.
Kwa wale watakaoweza kukesha nasi asubuhi tutaamkia kanisani, na baada ya misa kutakua na kifungua kinywa nyumbani kwa Prof Mtatifikolo.
Karibuni sana na tutashukuru kwa uwepo wako
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni