Bondia Salim Mponda akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake wa kesho utakaofanyika katikas ukumbi wa panandi panandi ilala bungoni kulia ni Alli Bakari Champion ambaye ni msimamizi kutoka kamisheni ya ngumi TPBC Picha na SUPER D BOXING NEWS Msimamizi wa Marefarii kutoka Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Nchini TPBC Ally Bakari kulia akiwakumbusha sheria mbalimbali mabondia waliojitokeza katika kupima kwa ajili ya mpambano wa kesho jumamosi katika ukumbi wa pandi panandi ilala bungoni Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia
Ramadhani Maonya kutoka Super D Boxing Clab iliyopo Shule ya Uhuru
Kariakoo akipim uzito kwa ajili ya mpambano wa kesho jumamosi katika
ukumbi wa panandi panandi ilala Dar es salaam kulia ni msimamizi kutoka
kamisheni ya ngumi za kulipwa TPBC Ally Bakari Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Msimamizi wa marefarii wa mchezo wa masumbwi kutoka kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBC Ally Bakari kushoto akiwakumbusha sheria mbalimbali mabondia Ramadhani Maonya kulia na Bilali Ngonyani katikati Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni