.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 15 Mei 2015

KUNDI LA AL-SHABAB LIMETOA VIDEO INAYOTOA WITO WA KUFANYWA MASHAMBULIZI UGANDA

Kundi la al-Shabab limetoa video inayotoa wito wa kufanywa mashambulizi ya katika nchi za Uganda na Burundi.

Mataifa hayo mawili yanakundi kubwa la wanajeshi wanaounda kikosi cha Umoja wa Afrika, AMISOM kinachopambana na kundi la al Shabab nchini Somalia.

Kenya ambayo ni jirani na Somalia, imekuwa ikikabiliwa na mashambulizi ya kigaidi yanayofanywa na wapiganaji wa al-Shabab.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni