.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 15 Mei 2015

JESHI LA NIGERIA LIMETANGAZA HALI YA HATARI KATIKA MJI MAIDUGURI

Jeshi la Nigeria limetangaza hali ya hatari katika mji mkuu wa kaskazini-mashariki wa Maiduguri baada ya kutokea shambulio la kushtukiza lililofanywa na kundi la Boko Haram.

Barabara zimekuwa hazina watu, masoko, shule na hospitali zimefungwa katika mji huyo wenye wakazi wengi.

Jeshi limesema hatua hiyo ya kuzuia watu kutoka nje imelenga kulinda maisha ya watu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni