Mji wa Ramadi nchini Irak umetwaliwa
na wapiganaji wa kundi la Dola ya Kiislam baada ya vikosi vya jeshi
la nchi hiyo kuzidiwa nguvu na kuondoka.
Vikosi vya askari polisi na jeshi la
Irak vimelazimika kurudi nyuma baada ya siku kadhaa za mapigano
makali.
Hata hivyo Marekani, imekanusha
kutwaliwa kwa mji huo na kusema kuwa hali ni tete na kuongeza kuwa
bado ni mapema mno kutoa taarifa ya uhakika.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni