Miili ya watu nane imepatikana ikiwa
kwenye ndege ya kijeshi ya Marekani iliyoanguka nchini Nepali, wakati
ikiwa katika shughuli za kutoa misaada kwa waathirika wa tetemeko la
ardhi.
Mabaki ya ndege hiyo yalipatikana
Ijumaa asubuhi na wachunguzi wanahangaika kubaini chanzo cha ajali
hiyo.
Wanajeshi wanne wa Marekani na
wanajeshi wawili wa Nepali waliokuwa wakitoa misaada katika eneo
linalopakana na China baada ya tetemeko lililotokea siku ya jumanne.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni